manyaki-1.jpg

Friday, December 2, 2016

Taasisi ya kujitegemea inayojishugulisha na kutetea haki za watoto wenye ulemavu na watoto yatima farijika community development kupitia mkurugenzi mtendaji wake imesema na kuwaomba wafadhili mbalimbali kujitokeza kwa wingi hili kuchangia tamasha hill litakalofanyika 18 mwezi huu.
Amewaomba wafadhili Wa ndani na nje ya nchi wenye mapenzi ya dhati kujitokeza kwa wingi hili kuwachangia watoto wenye mahitaji maalumu katika jiji LA Mwanza hiyo siku.unaweza wasiliana na waandaaji Wa tamasha hill kupitia 0787040261 Mwanza.


Thursday, December 1, 2016

Mkurugenzi Mtendaji wa FARIJIKA COMMUNITY DEVELOPMENT AND RIGHT ORGANIZATION,Bi Aisha Mtumwa, Amesema kuwa  maandalizi ya tamasha la chakula cha pamoja na watoto yatima,walemavu na watoto waishio kwenye mazingira magumu wa mkoa wa mwanza pamoja na wadau mbalimbali yanaendelea vizuri baada ya kuendelea kupata support toka kwa watu mbalimbali.
Akizungumza mapema leo Bi Aisha amesema Tamasha hilo litafanyika tarehe 18.12.2016 Katika ukumbi wa Bwalo La Jeshi jirani na Mahakama ya Mwanzo karibu na mwanza Gardern kwa mkuu wa wilaya.
Pia bado ameendelea kuwapa fursa wadau wenye moyo wa kujitolea kujitokeza kwa wingi kuchangia michango mbalimbali hili kufanyikisha tamasha hilo.
Pia Bi Aisha ameendelea kutoa shukrani kwa Kituo Cha Barmedaz Tv Kwa kujitolea kurusha Tamasha hilo siku ya jumapili ya  18.12.2016.
mbali na barmedaz Tv pia vyombo mbalimbali vya habari vimealikwa kuhudhulia  tamasha hilo.
Kuendelea kujua mengi kuhusu  FARIJIKA COMMUNITY DEVELOPMENT AND RIGHT ORGANIZATION na yatakayojiri katika tamasha hilo usiache kutembelea Blog hii au kwa mawasiliano piga 0756-040261 kwa mawasiliano zaidi au kama utahitaji kuchangia.

OFFICE ADRESS:

FACODRO
P.O BOX 1416
MWANZA TANZANIA

MOBILE NUMBER:
0756-040261
0787-
040261

Email Adress:
fap.achor@yahoo.com

OFFICE LOCATION:

MABATINI MWANZA

ABOUT US:

Farijika Community Development and Human Rights Organization is an organization which was formed by the people with different gender.We have find out and seek for the support children who live in Mwanza City,including helping widowers also to provide of education to the young people about drug abuse and HIV/AIDS preventation.
Our organization was formed on 10th may,2006 with the 25 members only and registered as CBO but now has been registered as N.G.Os

Total Pageviews

MISSION AND VISION:

1.Impacting knowledge on parents and vulnerable children
2.To provide education to the society about caring the vulnerable children
3.To convince the society about implementation of children rights.
4.Advocary and Observing for the children about education,Health,Food and Shelter from the grass root.
5.To provide education about social and development to the parents and caregivers.
6.Fighting Against Chronically disaster like HIV/AIDS,Malaria etc.
7.Stigma fighting against most vulnerable children
8.Fighting against drug abuse for the young people who use cocaine,marijuana,kubal,etc,use of drugs abuse above can cause to decreasing the nation manpower