Taasisi ya kujitegemea inayojishugulisha na kutetea haki za watoto wenye ulemavu na watoto yatima farijika community development kupitia mkurugenzi mtendaji wake imesema na kuwaomba wafadhili mbalimbali kujitokeza kwa wingi hili kuchangia tamasha hill litakalofanyika 18 mwezi huu.
Amewaomba wafadhili Wa ndani na nje ya nchi wenye mapenzi ya dhati kujitokeza kwa wingi hili kuwachangia watoto wenye mahitaji maalumu katika jiji LA Mwanza hiyo siku.unaweza wasiliana na waandaaji Wa tamasha hill kupitia 0787040261 Mwanza.
0 comments:
Post a Comment